Chogoria

Wanafunzi wa Chogoria wakati wa ukoloni.


Chogoria
Nchi Kenya
Kaunti Tharaka-Nithi

Chogoria ni mji wa Kenya na kata ya kaunti ya Tharaka-Nithi, eneo bunge la Maara[1].