Chris Iheuwa

Chris Iheuwa ni mwigizaji na mtayarishaji wa filamu wa Nigeria, mmoja wa waanzilishi wa tasnia ya Nollywood.[1][2] Yeye ni makamu mwenyekiti wa Chama cha Waigizaji cha Nigeria.

Chris Alipata digrii yake ya kwanza kutoka kwa kozi ya sanaa ya maigizo katika Chuo Kikuu cha Ibadan na Shahada ya Uzamili katika Chuo Kikuu cha Lagos.

  1. "Why Nollywood filmmakers still make money ritual movies - Actor, Chris Iheuwa". GhanaWeb (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-03. Iliwekwa mnamo 2022-08-03. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. Ogala, George (2022-04-22). "Why Nollywood filmmakers still make 'money ritual' movies - Actor, Chris Iheuwa". Premium Times Nigeria (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-08-03.