Chuo Kikuu cha Babcock | |
---|---|
Wito | Knowledge, Truth, Service |
Kimeanzishwa | 1959 |
Aina | Private |
Makamu wa chansela | J Kayode Makinde |
Chaplain | Dr. Israel B. Olaore |
Wanafunzi | 6.000 |
Mahali | Ikeja, Lagos, Nigeria |
Former names | Adventist College of West Africa, Adventist Seminary of West Africa |
Government Accreditation | 1999 |
Tovuti | www.babcockuni.edu.ng |
Chuo Kikuu cha Babcock ni chuo kikuu cha binafsi cha Kikristo, Nigeria inayomilikiwa na kuendeshwa na Kanisa la Waadventista Wasabato nchini Nigeria. Chuo kikuu kina umbali sawa kutoka Ibadan na Lagos.
Uandikishaji ulikuwa 6,000 mwaka wa 2009. [1]
Chuo Kikuu cha Babcock kilipewa jina la Marekani aitwaye Daudi C. Babcock, ambaye alianzisha kazi cha Waadventista Wasabato nchini Nigeria mwaka 1914. Alikuwa mjini Erunmu katika Oyo, Nigeia.
Chuo hiki kikuu kilianzishwa kama Chuo cha Waadventista Afrika Magharibi mwaka 1959, kikiwa na wanafunzi 7. Mwaka wa 1975, kilibadilishwa jina lake na kuwa Seminari ya Wasabato Afrika Magharibi. Chuo hiki kikuukilizinduliwa rasmi tarehe 20 Aprili 1999. [2]
Mipango ya kielimu katika Chuo Kikuu cha Babcock imeundwa katika shule nne na idara mbalimbali ambayo ni ya msingi ambapo mipango ya kufundisha, kujifunza na utafiti huundiwa. Kuna pia mipango ya kuanziha shule ya matibabu ambayo inaweza kuitwa Shule ya Utabibu ya Ben Carson. Sasa hivi Shule hii inaendesha shughuli za kutafuta fedha ili kukamilisha mradi wa Naira bilioni 3 [3] Nazo ni: