Cieran Peter Slicker (alizaliwa 15 Septemba 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uskoti, ambaye anacheza kama golikipa katika klabu ya Ipswich Town, inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza EPL, na timu ya taifa Uskoti.[2]
{{cite web}}
: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cieran Slicker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |