Claudia Mahler (alizaliwa 1969) ni msomi wa Austria ambaye pia ni mtaalamu huru wa pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu za wazee katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.[1][2][3] Dk. Mahler alichukua jukumu la kuwa kama mtaalamu wa kujitegemea mnamo mei 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Claudia Mahler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |