“Come Fly With Me” | ||
---|---|---|
![]() | ||
Single ya {{{Msanii}}} kutoka katika albamu ya Come Fly with Me | ||
Aina | Traditional pop | |
Urefu | 3:19 | |
Studio | Capitol Records | |
Mtunzi | Sammy Cahn | |
Mtayarishaji | Voyle Gilmore |
"Come Fly with Me" ni wimbo uliotengenezwa mwaka 1957 na Jimmy Van Heusen, na mashairi kutungwa na Sammy Cahn. Van Heusen had alipenda sana kupaa anagni kwani aliwahi kuwa rubani wakati wa vita vya pili vya dunia.
"Come Fly with Me" uliandikwa na Frank Sinatra, na ulikuwa jina la albamu aya Come Fly with Me ya mwaka 1958. Wimbo huu pia unapatikana katika filamu ya Little Voice.