Cosmas Michael Angkur

Cosmas Michael Angkur (4 Januari 1937 – 18 Desemba 2024) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Indonesia. Alipata daraja takatifu ya upadre tarehe 14 Julai 1967, na aliteuliwa kuwa askofu wa Dayosisi ya Bogor, Indonesia tarehe 10 Juni 1994.

Alistaafu tarehe 21 Novemba 2013. Angkur alifariki tarehe 18 Desemba 2024, akiwa na umri wa miaka 87.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.