Craig Cardiff (amezaliwa 9 Julai, 1976) ni mwimbaji wa Kanada kutoka Waterloo, Ontario anayeishi Arnprior, Ontario.[1][2]
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Craig Cardiff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |