Cristián Precht Bañados

Cristián Precht Bañados (alizaliwa 23 Septemba 1940) ni kasisi wa zamani wa Kanisa Katoliki kutoka Chile, anayejulikana kwa kazi yake ya kutetea haki za binadamu wakati wa utawala wa kijeshi. Alikuwa kasisi mkuu wa Vicariate of Solidarity kati ya mwaka 1976 na 1979.

Hata hivyo, mnamo Septemba 2018, alifutwa upadre kutokana na kuhusika kwake katika kesi za unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya watoto.[1]

  1. Archdiocese of Santiago. "Comunicado Arzobispado de Santiago", 15 September 2018. Retrieved on 2024-11-27. (Spanish) Archived from the original on 2018-09-16. 
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.