Das Bohnenspiel ni mchezo wa mankala kutoka Ujerumani. Mchezo mwingine wa mancala unaopendwa sana na Waswahili ni Bao.
Wachezaji wanaanza na mbegu sita kwa shimo
Mchezaji A | ::: | ::: | ::: | ::: | ::: | ::: | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | | ::: | ::: | ::: | ::: | ::: | ::: | | Mchezaji B
Mchezaji mmoja anachagua shimo ambalo lina mbegu. Anatoa mbegu, halafu anaziweka kwa shimo kwa upande wa kulia, lakini mbegu haziwekwa kwa nyumba. Mchezaji A ataanza
Mchezaji A | :::.| :::.| :::.| | ::: | ::: | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | | :::.| :::.| :::.| ::: | ::: | ::: | | Mchezaji B
Halafu mchezaji B anaendelea
Mchezaji A | :::.| :::.| ::::| . | :::.| :::.| | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | | :::.| :::.| :::.| | :::.| :::.| | Mchezaji B
Mchezaji A anaendelea
Mchezaji A | ::::| ::::| | . | :::.| :::.| | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | | ::::| ::::| ::::| . | ::::| ::::| | Mchezaji B
Kama shimo ya mwisho ina mbegu 2, 4 au 6, mbegu hizo zime kamatwa. Tunaweza kuonyesha kukamata na mchezaji B. Mchezaji B anaweza kucheza
Mchezaji A | ::::| ::::| | : | ::::| ::::| | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | | | .::::| .::::| : | .::::| .::::| | Mchezaji B
Sasa, mchezaji B ameshika mbegu mbili
Mchezaji A | ::::| ::::| | | ::::| ::::| | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | : | | .::::| .::::|:: | .::::| .::::| | Mchezaji B
Mchezaji B anaanglia shimo nyuma ya shimo ali kamata mbegu, kuona kama ina mbegu 2, 4 au 6, kuzishika. Kama haina, mchezaji A anaendelea, kama ina mbegu 2, 4 au 6, anazikamata na ananglia kama shimo nyuma ya hiyo ina mebegu 2, 4 au 6, na kuzishika, na kadhalika. Kwa sasa, mchezaji A anaweza kucheza
Mchezaji A | .::::| .::::| .| . | .::::| | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | : | .| :::::| :::::| :: | .::::| .::::| | Mchezaji B
Mchezaji B anacheza
Mchezaji A | .:::: | .::::| .| .| :::::| . | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | : | . | :::::| :::::| | :::::| :::::| | Mchezaji B
Mchezaji A anacheza
Mchezaji A | ::::: | | .| .| :::::| :| | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | : | : | .:::::| .:::::| .| .:::::| .:::::| | Mchezaji B
Mchezaji A amekamata mbegu 2
Mchezaji A | ::::: | | .| .| :::::| | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | : | : | .:::::| .:::::| .| .:::::| .:::::| : | Mchezaji B
Mchezaji B anacheza
Mchezaji A | ::::: | | .| .| :::::| | | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | : | : | .:::::| .:::::| | ::::::| .:::::| : | Mchezaji B
Mchezaji A anacheza
Mchezaji A | | | :| :| .:::::| .| | Nyumba B |--------|--------|--------|--------|--------|--------| Nyumba A | : | .:| .::::::| :::::::| .| .::::::| :::::::| : | Mchezaji B
Sasa, mchezaji A amekamata mbegu
Mchezaji A | | | | :| .:::::| .| | Nyumba B |--------|-------|-------|-------|-------|-------| Nyumba A | : | .:| ::::::| ::::::| .|.::::::| ::::::| :: | Mchezaji B
Na mchezaji A amekamata mebgu tena
Mchezaji A | | | | | .:::::| .| | Nyumba B |--------|-------|-------|-------|-------|-------| Nyumba A | : | .:| ::::::| ::::::| .|.::::::| ::::::| ::: | Mchezaji B
Mchezaji B anacheza sasa ....
Mchezo unaendelea, mpaka mchezaji mmoja hawezi kucheza. Mbegu zote ziko kwa bao zinakamatwa ni mchezaji mwengine. Mshindi ni mchezaji ana mbegu mingi kwa nyumba yake.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Das Bohnenspiel kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |