David Murray Brockie (amezaliwa 30 Agosti, 1963 – amefariki 23 Machi, 2014) alikuwa mwanamuziki wa Kanada na Marekani, ambaye alikuwa mwimbaji mkuu wa bendi ya heavy metal ya Gwar, ambapo alijitambulisha kama Oderus Urungus..[1][2]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dave Brockie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |