David Francey

David Francey (aliyezaliwa 1954) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo na muziki wa folk kutoka Kanada. Amepokea tuzo tatu za Juno Awards na tuzo tatu za Muziki wa Folk wa Kanada.[1][2]


Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Francey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.