David W. Duclon

Warren David Duclon (27 Aprili 195015 Januari 2025) alikuwa mwandishi na mtayarishaji wa televisheni kutoka Marekani, anayejulikana kwa kazi yake kwenye vipindi vya Punky Brewster, Silver Spoons, na Family Matters. Duclon alizaliwa Rockford, Illinois, tarehe 27 Aprili 1950. Alifariki Franklin, Tennessee, tarehe 15 Januari 2025, akiwa na umri wa miaka 74. [1][2]

  1. "David W. Duclon Dies: 'Punky Brewster' Creator Was 74". Deadline. Januari 15, 2025. Iliwekwa mnamo Januari 16, 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "David W. Duclon, 'Punky Brewster' Creator, Dies at 74". The Hollywood Reporter. Januari 15, 2025. Iliwekwa mnamo Januari 16, 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David W. Duclon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.