Dennis Hennig (28 Februari 1951- 17 Januari 1993) alikuwa mpiga piano wa Australia.
Katika miaka yake ya awali alikuwa mmoja wa wanachama katika kikundi cha The Australian Ballet alipokuwa akifanya mazoezi ya kupiga piano. Baadaye alianza kushiriki katika matamasha ya muziki wa laivu kama ya Signatures, An Evening, Seven Deadly Sins pamoja na Nearly Beloved.[1] pia amefundisha katika shule ya muziki ya Sydney Conservatorium of Music.[2]
Dennis Hennig alifariki kwa virusi vya Ukimwi [3] akiwa na umri wa miaka 41 mwaka 1993. Nishani yake ya heshima ilitolewa katika mashindano ya Sydney International Piano Competition.[4]
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help); More than one of |archivedate=
na |archive-date=
specified (help); More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)
![]() |
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dennis Hennig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |