Dhekra Mahfoudh

Dhekra Mahfoudh (alizaliwa 23 Mei 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama beki wa Klabu ya Al-Taraji huko Saudia pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1]

  1. "Dhekra Mahfoudh Stats". FBref. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dhekra Mahfoudh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.