Dineo seshee Bopape | |
Nchi | Afrika Kusini |
---|---|
Kazi yake | Simulizi uwakilishaji |
Dineo Seshee Bopape (alizaliwa Polokwane, Afrika Kusini, 1981) ni msanii wa habari kutoka Afrika Kusini.[1] Akitumia video, sauti, picha na vinyago wa majaribio kazi yake hujihusisha zaidi na hazina za kijamii na za kisiasa za kitaifa katika simulizi na uwakilishaji. [2][3][4]
Bopape alisomea upakaji rangi katika chuo cha teknolojia cha Durban na alihitimu katika chuo cha De Ateliers, Amsterdam mwaka 2007. Mwaka 2010 alihitimu shahada ya uzamili katika Chuo kikuu cha Colombia na kumaliza MFA katika Columbia University New York.[5][6][7]
Ukiachilia maeneo mengine, kazi za Bopape zimeonheshwa katika makumbusho ya New Museum, Chuo cha sanaa Philadelphia na the 12th Biennale de Lyon. Kazi zake binafsi zimewekwa katika nyumba ya maonyesho ya Mart, Amsterdam; jamii ya sanaa ya Kwazulu Natal, Durban; na Palais de Tokyo.[8][9] Bopape alikua mshindi tuzo ya MTN ya sanaa mpya ya kisasa 2008, tuzo za Chuo kikuu cha Colombia za mfuko wa Toby, tuzo za Sharjah Beennial 2017 na tuzo za 2017 sanaa za kizazi kijacho mwaka 2017.[7][10][11]
{{cite book}}
: |last1=
has generic name (help)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dineo Seshee Bopape kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |