Katika utarakilishi, dokoa (kwa Kiingereza: nudge) ni kipengele cha programu ya ujumbe papo kinachotumika ili kupata uangalifu wa mtumiaji mwingine. Dokoa inaweza kuwa mlio mmoja au tetemeko la dirisha.