Donald Attwater (24 Desemba 1892 – 30 Januari 1977) alikuwa mwandishi, mhariri, na mtafsiri Mkatoliki kutoka Uingereza, na mhadhiri mgeni katika Chuo Kikuu cha Notre Dame.[1]
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Donald Attwater kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |