Dorothy Eleanor Olsen (akijulikana pia kama Kocher; 10 Julai, 1916 – 23 Julai, 2019) alikuwa rubani wa ndege wa Marekani na mshiriki wa kikosi cha Wwanawake marubani wa huduma katika jeshi la anga (WASPs) wakati wa vita vya pili vya dunia.[1]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dorothy Olsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |