Dougaj

Dougaj ni mji unaopatikana kusini mwa Sahara Magharibi, Afrika Kaskazini, karibu na katikati mwa eneo la Agwanit na ukuta wa Moroko, takribani kilomita 119 kutoka Fderik, Mauritania.

Dougaj iko eneo la Sahara Magharibi linalomilikiwa na Polisario na mara nyingi hujulikana kama eneo huru au "Maeneo Yaliyokombolewa".[1] Ni mkoa mkuu kati ya mikoa 6 inayomilikiwa na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu, na kituo cha kijeshi cha SPLA.

Miundombinu

[hariri | hariri chanzo]

Mwisho wa Juni 2012, waziri wa Ujenzi na mwendelezaji wa Miji wa eneo huru aliweka jiwe la msingi la shule mpya ya Dougaj. [2]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. International Crisis Group, Western Sahara: the Cost of the Conflict, Report 65, 11 June 2007, Read online Archived 2012-02-08 at the Wayback Machine
  2. "Establishment of new municipalities in Saharawi liberated territories", SPS, 01-07-2012. Retrieved on 02-07-2012. Archived from the original on 2013-02-18.