Ecology Law Quarterly ni pitio la sheria ya mazingira linaliochapishwa kila robo ya mwaka na wanafunzi wa shule ya sheria ya UC Berkeley. Jarida hili pia huzalisha Ecology Law Currents, "jarida mwenza la kimtandao lililobuniwa kuchapisha vipande vya mara kwa mara kuliko chapisho lenyewe".[1]
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ecology Law Quarterly kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |