Edgar Stiles | |
---|---|
muhusika wa 24 | |
Louis Lombardi kama Edgar Stiles | |
Imechezwa na | Louis Lombardi |
Idadi ya sehemu | 37 |
Hali | Deceased |
Misimu | 4, 5 |
Maelezo | |
Familia | Lucy Stiles |
Edgar Stiles ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Louis Lombardi.
Edgar alikuwa na uzoefu kama Mtambuzi na Mnyambuzi wa mashine za CTU na vilevile alikuwa meneja wa uangalizi. Ana digrii ya Computer Science aliyoipatia katika Chuo Kikuu cha New York.[1]
Edgar alifahamika sana kwa kazi yake ya kuhifadhi picha za matukio[2], na alikuwa rafiki wa karibu wa mtaalam Chloe O'Brian, ambaye alikuwa akimsifia kuwa ni "mtu muzuri".[3]