Edith Eduviere | |
Amezaliwa | 18 Juni 1986 Nigeria |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | Mchezaj wa mpira wa miguu |
Edith Eduviere (alizaliwa 18 Juni 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza kama kiungo. Alikuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Nigeria katika michezo ya Olimpiki mwaka 2008. [1][2]
{{cite web}}
: More than one of |archiveurl=
na |archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edith Eduviere kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |