Edward Hagarty Parry

Edward Hagarty Parry (Alizaliwa tarehe 24 Aprili 1855 – Alifariki tarehe 19 Julai 1931[1]) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu. Alizaliwa Kanada, alichezea Timu ya taifa ya Uingereza.[2][3]



  1. Betts, Graham (2006). England: Player by player. Green Umbrella Publishing. uk. 187. ISBN 1-905009-63-1.
  2. Warsop, Keith (2004). The Early F.A. Cup Finals and the Southern Amateurs. Tony Brown, Soccer Data. ku. 113–114. ISBN 1-899468-78-1.
  3. Warsop, Keith (2004). The Early F.A. Cup Finals and the Southern Amateurs. Tony Brown, Soccer Data. uk. 51. ISBN 1-899468-78-1.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Hagarty Parry kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.