Edward Henry Howard

Edward Henry Howard (13 Februari 182916 Septemba 1892) alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Uingereza, ambaye alifanywa kardinali mwaka 1877. [1]

Alikuwa mtu wa ukoo wa Dukes wa Norfolk.[2][3]

Howard pia yuko katika mlolongo wa Kitume unaohusiana na Papa Fransisko.

  1. Burke's Peerage, vol. 2 (2003), page 2,911
  2. Miranda, Salvador. "Edward Henry Howard". The Cardinals of the Holy Roman Church. Iliwekwa mnamo 28 Juni 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Edward Henry Cardinal Howard". Catholic-Hierarchy. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.