Ekwa Msangi

Ekwa Msangi ni Mmarekani mwenye asili ya Tanzania, muandaaji wa filamu na mwandishi wa miswada ya filamu, pia ni anafundisha uandaaji wa filamu na masomo ya utamaduni katika Chuo Kikuu cha New York.[1]

  1. "Ekwa Msangi". Vermont College of Fine Arts (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-11-27.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ekwa Msangi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.