Eleonora Anna Giorgi (alizaliwa 14 Septemba 1989) ni mwanariadha wa Italia na mshindi wa medali ya shaba katika michuano ya kidunia ya 2019.[1] Alishindana katika michezo ya Olimpiki ya majira ya joto ya 2020 akishiliki katika matembezi ya 20km.[2]
Yeye ndiye anayeshikilia rekodi ya dunia ya matembezi ya mbio za mita 5000 kwa muda wa seti 20:01.80 mnamo tarehe 18 Mei 2014 huko Misterbianco.[3]