Elise Stenevik

Elise Isolde Stenevik (alizaliwa 9 Septemba 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Norway ambae anacheza kama kiungo mkabaji wa klabu ya Everton inayoshiriki katika Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL).[1][2]

  1. "Elise Stenevik - haxthaus - Football Agency" (kwa American English). 2023-03-02. Iliwekwa mnamo 2024-04-26.
  2. Norges Fotballforbund. "Elise Isolde Stenevik - Profil". fotball.no - Norges Fotballforbund (kwa Kinorwe). Iliwekwa mnamo 2024-04-26.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elise Stenevik kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.