Elmenteita Badlands ni volkeno ya kale yenye kimo cha mita 2,126 juu ya UB. Volkano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Nakuru.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Elmenteita Badlands kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |