Emali

Emali ni mji mdogo wa Kenya katika kaunti ya Makueni, kwenye barabara kuu Mombasa-Nairobi.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 18,325[1].