Emmanuel Obbo

Emmanuel Obbo, AJ (alizaliwa 7 Oktoba 1952) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Uganda ambaye amehudumu kama Askofu Mkuu wa Tororo kuanzia 2 Januari 2014.

Kabla ya hapo, alihudumu kama Askofu wa Soroti kutoka 2007 hadi 2014. Yeye ni mwanachama wa shirika la kitawa la Mitume wa Yesu (Apostles of Jesus).[1]

  1. David M. Cheney (9 Julai 2019). "Archbishop Emmanuel Obbo, A.J.: Archbishop of Tororo, Uganda". Kansas City: Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.