Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Gatanga ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo saba ya uchaguzi ya Kaunti ya Murang'a. Lina wodi saba ambazo zote zimo katika baraza la Kaunti.
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988 kutokana na kugawanywa kwa jimbo la Kandara kutengeneza majimbo mawili.
Jimbo hili lina tarafa mbili za utawala: Gatanga na Kakuzi, ambayo ilianzishwa mnamo 2002[1].
Uchaguzi | Mbunge [2] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Joseph Mwaura Gachui | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Josephat Mburu Wanyoike | Ford-Asili | |
1997 | David Wakairu Murathe | SDP | |
2002 | Peter Kenneth | NARC | |
2007 | Peter Kenneth | PNU |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
---|---|
Gatanga | 14,104 |
Ithanga | 7,801 |
Kakuzi | 6,781 |
Kariara | 8,488 |
Kigoro | 9,331 |
Kihumbuini | 15,542 |
Mitubiri | 8,715 |
Jumla | 70,762 |
*Septemba 2005 [3].
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Gatanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |