Erin Victoria Holland (amezaliwa tarehe 21 Machi 1989) ni mwimbaji, mtangazaji wa runinga, mwanamitindo, mchezaji densi, mfanyakazi wa misaada na mshindi wa mashindano ya urembo kutoka Australia. Alishinda taji lake la kitaifa Miss World Australia tarehe 20 Julai 2013.[1][2][3]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Erin Holland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |