Erwin Hecht, O.M.I. (13 Oktoba 1933 – 19 Novemba 2016) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ujerumani.
Alipadrishwa mnamo 1959, Hecht alihudumu kama askofu msaidizi wa Dayosisi ya Kimberley, Afrika Kusini, kutoka 1972 hadi 1974. Baadaye alihudumu kama askofu wa dayosisi hiyo kutoka 1974 hadi 2009.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |