Eugénie Musayidire (1952) ni mwanaharakati na mwandishi wa haki za binadamu ambaye alizaliwa nchini Rwanda.Musayidire ni mtu wa kabila la mtutsi, aliondoka nchini mwaka Rwanda 1973 baada ya kutishiwa na wahutu wenye msimamo mkali, akihamia kwanza Burundi na baadaye Ujerumani kama mkimbizi wa kisiasa.[1][2][3]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eugénie Musayidire kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |