Evan Mawarire

Evan Mawarire

Evan Mawarire (7 Machi 1977) [1] ni mchungaji na mwanaharakati wa kidemokrasia wa Zimbabwe. Alipata umaarufu wakati wa maandamano ya Zimbabwe ya 2016-2017 ambayo yalipinga utawala wa serikali ya Robert Mugabe. [2]

  1. "Mawarire is no saint". The Herald (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2016-07-23. Iliwekwa mnamo 2018-10-26.
  2. "Evan Mawarire, Pastor Behind Zimbabwe's #ThisFlag Protest Movement, Denied Bail". Time. Iliwekwa mnamo 17 Januari 2018.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Evan Mawarire kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.