Fayçal Badji (kwa Kiarabu: فيصل باجي; alizaliwa 15 Februari 1974, huko Algiers) ni mchezaji wa kimataifa wa Algeria aliyestaafu.[1] Fayçal Alitumia muda mwingi wa uchezaji wake nchini Algeria, kwa muda mfupi akiwa na klabu ya Erzurumspor katika Ligi Kuu ya Uturuki.[2]
Klabu CR Belouizdad
MC Alger
Binafsi
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fayçal Badji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |