Felicity Aston

Felicity Ann Dawn Aston alizaliwa 7 Oktoba 1977 ni mtafiti kutokea nchini Uingereza, mwandishi na mwanasayansi wa zamani wa masuala ya hali ya hewa.

Maisha ya Awali na Taaluma

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa katika mji wa Birchington-on-Sea, Kent,[1] na kusoma katika shule ya wasichana na kupata elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha London .[2]

Felicity Aston portrait.
Felicity Aston portrait.

Kati ya mwaka 2000 hadi 2003, Felicity Aston alikuwa mtabiri wa hali ya hewa katika kituo cha utafiti cha Rothera kinachopatikana katika kisiwa cha Adelaide, kituo ambacho kinaendesha utafiti na kufuatilia mabadiliko ya tabia nchi na tabaka la ozoni.

  1. Booth, Robert (23 Januari 2012). "Briton Felicity Aston becomes first to manually ski solo across Antarctica". The Guardian. Iliwekwa mnamo 12 Mei 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. SoapboxScience, Alex Jackson and. "An Intrepid Look at Winter with Climate Scientist and Adventurer Felicity Aston". Scientific American Blog Network. Iliwekwa mnamo 12 Mei 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Felicity Aston kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.