Felix Eugenio Mkhori (24 Agosti 1931 – 27 Oktoba 2012) alikuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Lilongwe, Malawi.
Alipadrishwa mwaka 1961 na kuteuliwa kuwa askofu mnamo 1977. Aliongoza Jimbo la Chikwawa kutoka 1979 hadi 2001, alipoteuliwa kuwa Askofu wa Lilongwe.
Aliastaafu mwaka 2007 na alifariki dunia mnamo 27 Oktoba 2012.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |