Ferdinand Nahimana (alizaliwa 15 Juni 1950) ni mtaalamu wa historia kutoka Rwanda, ambaye alikubaliana na hatia ya kuchochea mauaji kwa jukumu lake katika mauji ya kimbari ya 1994 dhidi ya Watutsi nchini Rwanda.
Nahimana alikuwa mwanazuoni na pia mwanahistoria ambaye alianzisha kituo cha redio cha Radio Télévision Libre des Mille Collines (RTLM), ambacho wakati wa mauaji kilirusha habari na propaganda ambazo zilichochea kuratibu mauaji na kupandikiza chuki dhidi ya Watutsi na Hutu wema.[1]
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ferdinand Nahimana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |