Fethi Heper

Fethi Heper

Fethi Heper (3 Februari 194413 Februari 2025) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Uturuki aliyekuwa akicheza kama mshambuliaji. Alikuwa mfungaji bora wa Eskişehirspor. Baada ya kustaafu soka, alikua profesa wa masuala ya fedha katika chuo kikuu. [1][2][3][4]

  1. "FETHİ HEPER". TFF. Iliwekwa mnamo Aprili 15, 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Dinyakos: Fethi Heper - Futbolun Profesörü".
  3. Türkiye'nin ilk ve tek profesör gol kralı Fethi Heper hayatını kaybetti (in Turkish)
  4. "Turkey - Topscorers". RSSSF. Iliwekwa mnamo Aprili 15, 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fethi Heper kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.