Flicker Records | |
---|---|
![]() | |
Shina la studio | Sony Music Entertainment |
Imeanzishwa | 1999 |
Mwanzilishi | Audio Adrenaline |
Nchi | ![]() |
Mahala | Franklin, Tennessee |
Tovuti | www.flickerrecords.com |
Flicker Records ni studio ya kurekodimuziki ya Kikristo ambayo ina makao yao mjini Franklin, Tennessee. Ilianzishwa na wanachama wa kundi la Kikristo la Audio Adrenaline. Hasa studio hii inalenga wasanii wanaoimba nyimbo za aina ya mwamba, ingawa pia ina sehemu ya, Big House Kids,inayorekodi nyimbo za watoto za Kikristo.[1]
Nyimbo za studio hii zilisambazwa na EMI tangu mwaka wa 1999.[2] Tangu 24 Machi 2006, Flicker imekuwa mwanachama wa Kundi la Provident Label, sehemu ndogo ya Sony Music Entertainment.[3]