Francisco Cerro Chaves

Francisco Cerro Chaves

Francisco Cerro Chaves (alizaliwa 18 Oktoba 1957) ni askofu wa Kanisa Katoliki, mtaalamu wa teolojia na falsafa kutoka Hispania, ambaye amekuwa Mkuu wa Jimbo Kuu la Toledo tangu Februari 2020.

Aliwekwa wakfu kuwa askofu mwaka 2007 na kuwa Askofu wa Coria-Caceres kuanzia 2007 hadi 2019.[1]

  1. (in it) Rinunce e Nomine, 21.06.2007 (Press release). Holy See Press Office. 21 June 2007. https://press.vatican.va/content/salastampa/it/bollettino/pubblico/2007/06/21/0341/00928.html. Retrieved 10 May 2021.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.