Fred Kubai (1917 – 1 Juni 1996) alikuwa mmoja wa wanachama wa Kapenguria six, waliopigania Umoja wa Afrika wa Kenya waliokamatwa mwaka wa 1952, na kutuhumiwa kifungo. [1]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fred Kubai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |