Froduald Karamira (alizaliwa 14 Agosti 1947 – 24 Aprili 1998) alikuwa mwanasiasa wa Rwanda aliyepatikana na hatia ya kupanga na kusimamia utekelezaji wa Mauaji ya Kimbari ya Rwanda ya 1994. Mahakama ya Rwanda ilimhukumu kifo, na alikuwa miongoni mwa watu 22 wa mwisho kunyongwa nchini Rwanda mnamo Aprili 1998. Alikuwa mwenye asili ya Kitutsi.[1]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |