Fulgence Werner Le Roy (23 Agosti 1924 – 14 Oktoba 2017) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.
Le Roy alipewa sakramenti ya upadre mwaka 1952. Alifanya kazi kama askofu wa Jimbo la Pietersburg (ambalo lilibadilishwa jina na kuwa Polokwane mwaka 2009), Afrika Kusini, kutoka mwaka 1988 hadi 2000.
Alifariki tarehe 14 Oktoba 2017 akiwa na umri wa miaka 93.[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |