G.O.A.T. (Greatest of All Time) ni jina la albamu ya nane ya rapa wa Kimarekani, LL Cool J. Albamu ilitolewa kupitia studio ya Def Jam Recordings. Albamu ilitolewa mnamo tar. 5 Septemba 2000, na kuweza kushika nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard 200 huko nchini Marekani.
- "Intro"
- "Imagine That" (akimshirikisha LeShaun) (Imetayarishwa na Rockwilder)
- "Back Where I Belong (anamponda Canibus)" (akimshirikisha Ja Rule) (Imetayarishwa na Vada Nobles)
- "LL Cool J" (Imetayarishwa na DJ Scratch)
- "Take It Off" (Imetayarishwa na Adam F)
- "Skit"
- "Fuhgidabowdit" (akimshirikisha DMX, Redman na Method Man) (Imetayarishwa na Trackmasters)
- "Farmers"
- "This Is Us" (akimshirikisha Carl Thomas) (Imetayarishwa na Vada Nobles)
- "Can't Think" (Imetayarishwa na Ty Fyffe)
- "Hello" (akimshirikisha Amil) (Imetayarishwa na DJ Scratch)
- "You and Me" (akimshirikisha Kelly Price) (Imetayarishwa na DJ Scratch)
- "Homicide" (Imetayarishwa na DJ Scratch)
- "U Can't Fuck With Me" (akimshirikisha Snoop Dogg, Xzibit na Jayo Felony) (Imetayarishwa na DJ Scratch)
- "Queens Is" (akimshirikisha Mobb Deep) (Imetayarishwa na Havoc)
- "The G.O.A.T." (Imetayarishwa na Adam F)
- "Ill Bomb" (Bonus) (Imetayarishwa na DJ Scratch)
- "M.I.S.S. 1" (akimshirikisha Case) (Bonus) (Imetayarishwa na III Am)
Album – Billboard (Amerika ya Kaskazini)
Mwaka
|
Chati
|
Nafasi
|
2000
|
The Billboard 200
|
1
|
R&B/Hip-Hop Albums
|
1
|
|
---|
Albamu | |
---|
Single | |
---|
Makala zinazohusiano | |
---|