Gada Kadoda

Gada Kadoda akiwa na maua baada ya mkutano wa "Knowledge Management Capacity in Africa" 2012
Gada Kadoda akiwa na maua baada ya mkutano wa "Knowledge Management Capacity in Africa" 2012
Gada Kadoda, ni Mhandisi wa nchini Sudani na Profesa katika Chuo cha Garden City cha Sayansi na Teknolojia . Anafundisha katika Chuo Kikuu cha Khartoum, ambapo alianzisha kozi ya usimamizi wa maarifa. Hapo awali amewahi kuwa Raisi wa Jumuiya ya Maarifa ya Sudan. Alichaguliwa kama mmoja wa Wanawake 100 wa BBC mnamo 2019.
[hariri | hariri chanzo]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Kadoda alisomea sayansi ya kompyuta katika Chuo Kikuu cha Khartoum mwaka wa 1991. [1] Alihamia Uingereza baada ya kuhitimu, ambapo alisoma mifumo ya habari huko City, Chuo Kikuu cha London . [1] Alihamia Chuo Kikuu cha Loughborough kwa masomo yake ya shahada ya uzamili, ambapo alifanya kazi katika uhandisi wa programu . [1]

Marejeleo

[hariri | hariri chanzo]
  1. 1.0 1.1 1.2 "TEDxKhartoum | TED". www.ted.com. Iliwekwa mnamo 2019-10-17.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gada Kadoda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.