Gang Related | ||
---|---|---|
Soundtrack ya Wasanii mbalimbali | ||
Imetolewa | Oktoba 7, 1997 | |
Imerekodiwa | 1994 (Life's So Hard, beti ya 1-3); 1996-1997 | |
Aina | Gangsta Rap | |
Urefu | 114:33 | |
Lebo | Death Row/Priority | |
Mtayarishaji | 2Pac, Arthur Griffith, Binky Mack, Brian G, Bud'da, Carl "Butch" Small, Carlas Closson, Chris Jackson, Daz Dillinger, Johnny "J", Les Pierce, Nate Dogg, QD III, Regi Devell, Sean "Barney" Thomas, Tommy D. Daugherty, Tyrone Wrice, Young Soldierz |
Makadirio ya kitaalamu | |
---|---|
Tahakiki za ushindi | |
Chanzo | Makadirio |
Allmusic | [1] |
Gang Related ni cd maradufu ya sauti iliyotolewa kama kibwagizo cha kwa ajili ya filamu ya Gang Related. Albamu ilitolewa mnamo tar. 7 Oktoba, 1997, chini ya studio ya Death Row Records na Priority Records. Albamu ina vibao 4 kutoka kwa mwigizaji msanii msaidizi kutoka katika filamu hii, Tupac Shakur.[2] Albamu ilishika nafasi ya #2 kwenye chati za Billboard Top 200, na #1 kwenye chati za Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums chart.[3]
Baadaye ikatunukiwa hadhi ya Platinum x2 na RIAA.[4] Kibwagizo hiki na vingine viwili (Above The Rim) na (Gridlock'd) vilitolewa na Death Row ikiwa kama kifurushi chenye seti ya CD 4 zilizoitwa The Death Row Archives [The Soundtracks]. Albamu pia inamwonesha rap ya mara ya kwanza ya rapa kutoka Kansas City, Missouri - Tech N9ne.
{{cite web}}
: Check |url=
value (help)
{{cite web}}
: Check |url=
value (help)