Gayaza ni mji katika Wilaya ya Wakiso katika mkoa wa Buganda huko Uganda.[1]
Gayaza uko katika Jimbo la Kyaddondo Kaskazini, Jimbo (Kaunti) la Kyaddondo. Mji huo ni takriban 2.5 kilomita, kaskazini - mashariki mwa Kasangati, kwenye barabara ya Kampala – Ziroobwe.[2]
{{cite web}}
: More than one of |accessdate=
na |access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gayaza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |